KELECHI AFRICANA AFUNGUKA "WASOJALI BAND NA MIMI NI TOFAUTI!
Kelechi Africana, msanii anayetamba kwa kibao bomboribo na nitalia nawe aliyoshirikishwa na Wasojali band ameamua kufunguka. Kelechi,alieleza meza yetu ya habari kuwa mashabiki kamwe wasimuweke kundi moja na Wasojali band. "Mimi na Wasojali band ni dunia mbili tofauti. Japo tupo kwenye management moja mimi si mmoja wa Wasojali band ila nina furaha kufanya kazi nao."
Vilevile,Kelechi alidokeza kuwa hivi karibuni ataanda na kuachia video ya wimbo wake mpya.
Comments
Post a Comment