WAKO WAPI LYRICS BY JAYKAH ft MASTER KIMBO
Intro;hah yeah Jaykah Mtengwa Yeah Yeah Na General Mkongwe
Chorus ;Kimbo; Click clack paah wako Wapi mashujaa, wenye real music, Real sanaa inafaa, zishatapakaa stori nyingi blaah blah hah hah mmh*2
Verse 1; Wako Wapi Kingsting, Na yule mchiz BedBug, Namis Zile Anisa Au wameishia KuGive Up, Give Down, Zile bling bling za Sokoro/ Wameacha Gem Limelala limekua Kiporoo/ Namis Nyota Wa Zamani lakini sio wa sasa/ Simis ngoma za nonini Kusifia Anasa/ Amka Ukatikee Yuko Wapi yule Cza/ Umeme umekatika kwenye Gem ni full Giza/ Mchiz wangu Escoba, Esco Duh/ Namis niwape nisiwape Esco Balaa/ "Wa sikuhiz ni Kinyaa kwa kuwa haendi Na Wakati/ Na Ndio maana Kwenye Radio mchiz Hayupo kwenye Chati"/ Namis Nipe Biti Oi Usinipe Kiti/ Nammis Mchiz Wangu CLD Na Kabinti/ Nammis Daddy sele, Daddy wa sikuhiz ni Misele/ Wako Wapi hawa jamaa au ndio wanakuna Upele/ Repeat (Tuwatafute hawa jamaa, Tunamis Real music saafi)
Chorus kimbo; Click clack paah wako Wapi mashujaa, wenye real music, Real sanaa inafaa, zishatapakaa stori nyingi blaah blah hah hah mmh*2
Verse 2; Namis Ngoma kali sikuhiz zipo ngoma nzuri/ Zenye kupendeza na wenyewe ni wasanii viburi/ Kiburi kaburi Dj zungusha Santuri/ R.I.P Malcom P mchiz ulale pazuri/ Ngoma za kitoto radioni ZinaTambaa/ Za wazee zipo mtaani kachaa zinatembeA/ Yuko Wapi Lil Tom Yule Mcee Wa Malindi/ kimya kina mshindo au ulikuja tu kwa Kipindi/ Nammis Fisherman Zile enzi za Isabella/ Sikuhiz ni Pumba tupu hawa madogo wanakera/ Nammis Sophline Mchiz mfunge kambaa/ Rude boys nao vipi Au Gem limewakataa/ Lady ZiPy Ulikuja tu kuchungulia/ Sio kukaa maana ghafla dia umepotea/ Namis Ukoo Flani yuko WAP Sharamaa/ Au ni michosho bila Cannibal ndio jamaa Amelemaa/ Namis Real music sikuhiz ni Utani tu/ Njia yoyote itatumika bora mchiz awe Juu/
Chorus ;Kimbo; Click clack paah wako Wapi mashujaa, wenye real music, Real sanaa inafaa, zishatapakaa stori nyingi blaah blah hah hah mmh*2
Outro; Safi Mia Mia nimemaliza Ausio, Hizi ni Harakati sio Za Wanaskati, Roma Camp Na Jay Crak, Safi, mungu anasaidia Mchongo Unaleta UGali Mia Amani Sana'a
Background; Click clack Paah Click Clakk Paah Click clack Paah
Comments
Post a Comment