HII MTAIWEZA? STYLE MPYA YA DIAMOND PLATNUMZ, TAZAMA PICHA HAPA
Mkali wa Bongofleva Diamond Platnumz ni msanii ambaye kwa sasa anayesemekana kuwa na uwezo mkubwa kifedha na pia kiumaaraufu kutoka Africa Mashariki. Licha ya kushikilia style yake ya kimziki, CEO huyo wa WCB pia amekuwa akitoa mitindo kadhaa ya fashion na kama kawaida, hajakosa wakumfuata, hasa hapa Pwani. Baada ya kushinda tuzo 35 kwenye career yake ya kimziki, Diamond ametoka na style mpya. Je, atapata wa kunfuata? Tazama picha hapa PHOTOS (COURTESY)