Posts

Showing posts from September, 2016

WASANII CHUNGENI SANA NA HUYU JAMAA

Image
Majina yake kamili ni ABUBAKAR JUMA,ila jina la usanii ni NORRY CLASSIC.Norry alizaliwa tarehe 2 mwezi wa pili mwaka wa 1995. Msanii huyu anayefanya muziki wa RnB alilelewa Mtwapa na kusomea shule mahali tofauti tofauti hapa Pwani. Ni mwaka wa 2009 ndipo bingwa huyu wa kiswazi alipojiunga na kikundi cha muziki kiitwacho WEST NORRIEGO cha watu watatu. " Tulitoa wimbo wa kwanza uitwao SUBIRA chini ya producer Lil I,Tino,ambaye ndiye CEO wa WAPISHI MUZIK studio iliyopo Mtwapa."alieleza Norry. Kwa usemi wake mwenyewe Norry alisema kuwa aliyemkuza sana katika ulingo wa sanaa ni Produza Tino. "Tino amenikuza amenilea kama mwanawe katika muziki hadi hapa nilipofika,vilevile nimepitia changamoto nyingi katika muziki ila rafiki wangu wadhati ATUMIK WALEO A.K.A ABELO amenipa sana moyo na kunisupport katika muziki hadi hapa nilipofika," alieleza Norry. Akiwa mtoto wa kiume wa pili katika familia ya watoto saba ya Mzee juma,babake hakupenda Norry aimbe alitaka asome kwa...

CHRIS BROWN SET TO PERFORM IN MOMBASA!!!!

Image
Hip hop and RnB singer Chris Brown is set to perform in Mombasa on October 8 at the Nyali Golf club alongside Nigerian WizkidThe event, dubbed Music Festival, is being organized by Mombasa Rocks and will be an exclusive event that will see Mombasa being the second city to host international superstars, shifting the focus from Nairobi. “We wanted to make it a surprise for everyone, that is why we did not say anything before, until we were near the concert date,” said Alexadre Helaine, marketing manager Moet Hennessy eastern Africa, the key sponsors of the event. The event is aimed to attract the crème de la crème of the industry although it has not yet been revealed who will be the curtain raisers for the two big artistes. Regular tickets will be going for 10.000 shillings, while VIP and VVIP will go for Sh 20,000 and Sh 50,000 respectively. Sale of tickets is strictly online through Jambopay or through a USSD code *805*20#.

**EXCLUSIVE**PWANI USANII GOES INTERNATIONAL!!! EXCLUSIVE INTERVIEW WITH NEW YORK'S SOCA AND DANCEHALL ARTIST 'BEST FIRE'.

Image
PWANI USANII:WHO IS BEST FIRE?? BEST FIRE:Lyndon Best, aka Best Fire, is a new vibrant energetic performer born and raised in the beautiful sunny island of Trinidad & Tobago. PWANI USANII: YOU WERE BORN AND RAISED IN TRINIDAD,HOW DID YOU END UP IN THE US? BEST FIRE:While growing up in Trinidad,I used to travel to the U.S. on vacations with family members. Currently, I live in New York City, Brooklyn. PWANI USANII:HOW LONG HAVE YOU BEEN DOING MUSIC? BEST FIRE:I've been writing my own songs for the past 7 years, while trying to land some recording time.  PWANI USANII:THERES A LOT OF DIVERSITY IN YOUR MUSIC GENRE, WHATS YOUR SECRET ?  BEST FIRE: I do building of my own rhythms, singing the island's type of music, soca, ragga soca , dancehall, reggae and anything else that comes to my creative mind.Thats the secret I can share.  PWANI USANII:TELL US ABOUT SOME OF THE PERFORMANCES YOU EVER DID. BEST FIRE:I have performed in several hip-hop showcases in Man...

SUSUMILA KAKOSANA NA MKEWE??

Image
Ni mwaka mmoja tu na bado haujaisha pale mbwembwe zilijaa pwani nzima kwenye harusi ya msanii tajika pwani,Yusuf Kombo almaarufu Susumila. Susu,CEO wa Wachawi International inakisiwa kuwa ametengana na mkewe wa ndoa,Kibibi.Wawili hao japo haijabainika vyema kupitia mwanahabari mmoja tutakaye mbana jina kwa sasa,habari za kuwachana kwao zilifichuka na tunavyoongea Kibibi yupo nyumbani kwa wazazi wake. Kibibi ambaye ni muigizaji alivikwa Pete na Susumila miezi kumi na moja iliyopita na alikua amejifungua mtoto wa kike. Yasemekana kuwa wote Wawili walikubali kuwa wametengana ila walidinda kufichua lililowatenganisha. Kwenye kumbukumbu zetu,Kibibi ni mke wa Pili wa Susumila kutengana naye baada ya mkewe wa kwanza kwa jina Ruth aliyezaa naye watoto Wawili.

BROWN MAUZO AZIDI PATA MAUZO!!!

Image
Si kwa sauti tu bali mvuto wake kwenye sanaa umempa mwelekeo na njia ya kupenya kila pembe Afrika Mashiriki. Brown Mauzo aliyeanza vuma toka enzi za Wawili Pekee hajawahi legeza kamba kwenye bahari ya sanaa. Mauzo amefanya kazi na studio kadha wa kadha sifika hapa Kenya hadi Tanzania.Amefanya studio za Ogopa,Mainswitch,Akafanya kazi na Produza Totti,Morbiz na sasa amefanya na Combination sounds iliyopo Tanzania. Baada ya kimaliza collabo yake na Rich Mavoko,Mauzo amengia studio na kuangusha bonge la hit akimshirikisha Alikiba. Nitulize imefanyiwa video moja bab-kubwa na itazame hapa --- >>> https://youtu.be/i3_fFWbBUms

DHULMA KWA WASANII ZAPIGWA MATEKE!!!!

Image
TWATUMIA PESA NA BADO HATUPEWI KITU. Kadri sanaa ya Kenya inavyodidimia,wasanii wamejaribu kupaza sauti kwa kila namna ili kujaribu kuokoa milki hii.Mizozana baina ya waandalizi tamasha na wasanii imezidi onekana na mwisho wa siku wasanii hushindwa na kuambulia patupu. Migongano hii ndio iliyomfanya msanii Benso aliyevuma kwa kibao OGOPA kuingia studio na kudondosha wimbo wa kutetea wasanii ili waweze kulipwa pesa zao. Pata kuisikia hapa kwa mara ya kwanza --- https://youtu.be/dfbPOUbLM3E

WANAHABARI WATANITAFUTA WENYEWE:MSANII MASHUHURI ADAI.

Image
Kusahaulika kwenye muziki wa Tanzania ni rahisi kama kumsukuma mlevi hata kama uliwahi kutoa nyimbo zilizohit kila kona.   Saida Karoli ni mmoja wa wahanga. Amekiri kuwa kabla ya Diamond kuurudia wimbo wake, Salome, vyombo vya habari vilikuwa vimemtupa kulee – vichache tu vilivyokuwa vinakumbuka hata kama yupo hai, kwa mujibu wa maelezo yake. “Vyombo vya habari vilikuwa vimeshanisahau, leo hii vinanitafuta,” anasikika akisema Saida kwenye kipande cha sauti alichokiweka Diamond Instagram. “Ndugu zangu baadhi wanajua hata sipo duniani, leo hii naona watu mbalimbali wananitafuta, kwakweli nimefunguka, najihisi kuzaliwa upya,” alisema. Maria Salome ulikuwa wimbo wenye mafanikio makubwa kwa Saida Karoli. Pamoja na kumlipa kwa kuurudia wimbo huo, Diamond amesema asilimia 25 za mapato ya wimbo huo yataenda kwa Saida.

RAY-C BAADA YA MADAWA YA KULEVYA AJITAYARISHA KWA WIMBO MPYA!

Image
Baada ya kuonekana kuanza kuwa na afya njema baada ya kupambana kutoka kwenye matumizi ya madawa ya kulevya, Ray C ameonekana kuanza kuingia studio kurekodi wimbo wake mpya.  Kupitia mtandao wake wa Instagram, muimbaji huyo ameandika mashairi ya wimbo wake huo mpya ambao ameupa jina la Panya Road. Haya ni mashairi yake: Verse 1: Hivi ukimkamata panya road wako anaekugombanisha anaekugombanisha na marafiki zako Kupeleka fuko la umbea mpaka kwa mume wako Ashakugombanisha na majirani mtaa mzima, Panyaroad asilielipa hata senti Lakini kapangisha bureeee kichwani mwako Yani mpaka akitokea mtaani kwako kama ulikaa kibarazani lazma utoke mbio Kama umewaona alshabab!!!!! Maana huyo hata salaam tu ukimpa tafrani Kama kuna MTU kakuona umesimama naye japo dakika akitoka hapo Huyo panyaroad akikutana na yule aliewaona mko wote utajuta Kwanini ulimpa salam yako Maneno atakavyobadilisha na kutia chumvi na ndimu Mamaa mbona kigodoro cha michambo utaamka nacho mlangoni mwako H...

MWANDISHI MASHUHURI WA GAZETI AJIPATA MATATANI BAADA YA KUPATIKANA NA BUNDUKI!!!!

Image
Ilikua vuta nikuvute,vurumai,kivumbi asubuhi ya Leo,19.9.2016 baada ya mwandishi mashuhuri wa Nairobi kupatikana na bunduki. Mwandishi huyu anayefanya na shirika la habari sifika nchini alijipata taabani pale maswali furifuri yalipoulizwa kuhusiana na picha yake ikiwa ameshika bunduki aina ya AK47. Manuel Ntoyai almaarufu 'Manuu' alishindwa kujibu maswali aliyoulizwa na kutoasema bunduki ameitoa wapi.Juhudi zetu za kuwasiliana naye hazikufua dafu.

**EXCLUSIVE**MSANII ATOA VIDEO AKIPONDA WANAODHALILISHA SANAA!!!!

Image
Kawaida ya sanaa ya pwani imejaa kukuru kakara za kukanganya kila uchao. Mara wasanii wapigana,mara bifu zisizo na msingi,malipo duni na kadhalika. Baada ya kupotea kwa muda mrefu,msanii wa mtindo wa bounce amerudi tena kukashifu mambo kadhaa yanayoikumba sanaa. Benso,ameachia video ya wimbo NILIPE akizungumzia jinsi wasanii wa pwani wanavyodhalilishwa kimalipo. Nilipe,Benso amekuja bayana kudai kilicho chake kimuziki na haki yake kwenye burudani. Akiponda miungano kama MCSK,PRISK,MDUNDO na SKIZATUNE msanii huyu amefungua pazia ambalo wengi walikua bado hawaoni ndani yake. Benso alikua na haya machache tu ya kutuambia.... "Watch New NILIPE VIDEO by BENSO now on YOU TUBE NILIPE is a song that talks about the struggle of Kenyan artists and the push that they should get paid/compensated for their artwork. Available on my you tube channel "Benso Kenya...." BONYEZA HII LINK UPATE KUITAZAMA--> https://youtu.be/dfbPOUbLM3E

MSANII RUBY WA BONGO AANZA KUJISIMAMIA MWENYEWE KIMUZIKI.

Image
Msanii wa Bongo Fleva, mwanadada Ruby ambaye amewahi kutamba na wimbo wake wa “Na Yule’ amefunguka na kusema kwa sasa amebadili uongozi wake na kujisimamia yeye kwani anataka kusimama yeye pamoja na mashabiki zake. Ruby alisema hayo kwenye kipindi cha eNewz na kudai kuwa yeye aliamua kubadili uongozi kwa sababu anataka kusimama yeye kama yeye kwenye muziki kwa kutegemea mashabiki wake, pia Ruby anadai Tanzania ukimchana mtu ukweli unaonekana wewe ni mkorofi au mgomvi. “Unajua hata mtoto anapokuwa kwa wazazi inafika wakati anahitaji kuanza maisha yake mwenyewe, hivyo mtoto akiondoka kwa wazazi haina maana kuwa hauna wazazi ‘No’ wala haina maana kuwa umeondoka nyumbani kuna matatizo bali unakuwa umeanza maisha yako mwenyewe, ni sawa na mimi saizi nimebadili uongozi wangu na niko mimi kama mimi kwani nataka kusimama pamoja na mashabiki zangu. Watu wanasema sijui mimi ni mkorofi hao ni wao kwani mtu ukimchana ukweli unaonekana wewe ni mkorofi ni bora ukamwambia mtu ukweli kwani ukweli...

BABU WES TAKES THE GOSPEL TO LAMU.

Image
Alex Opatia popularly known as Babu Wes is a gospel artist who was born in Mumias but raised in Mombasa.Being a born again and Godfearing Christian,Babu Wes decided to spread the gospel through his music ministry. He launched his first album in 2014 which didn't do quite well. "Most producers undermined my talent but I kept on doing my best to ensure growth. My parents neglected me and made me hustle with diminished, broken heart. I thank God I never gave up even after having tasted the street life as a street boy." Babu Narrates. His music career has been facing alot of challenges but this talented young chap is convinced that God has got great plans for him. His desire is to reach the hearts of those who are downhearted & have lost their hopes. "I want to make them believe that theres God and he is there for all of us." Said Babu Wes. Currently Babu Wes is signed to ISLANDLOVE RECORDS Lamu working under Producer Donny.

COAST FILM FESTIVAL AWARDS 2016 WINNERS(PHOTOS)

Image
Courtesy of Sammy Samora (254 FILMS.) 1.Best Sound Mixing, ZILIZALA. 2.Best Lighting, Kelvin Kavita Kavitz in THE RULER. 3.Best Coastal Theme,JINAMIZI. 4.Best Overall Film ZILIZALA, directed by Anguka Daudi. 5.Best Supporting Actor, in ZILIZALA. 6.Best Supporting Actress. 7.Best Original Script, for THE RULER. 8.Best Editing, Anguka Daudi for ZILIZALA. 9.Best Kenyan film, KIZINGO produced by Betty Kathungu-Furet and directed by F Simiyu Barasa. 10.Lifetime Achievement Award, to Likobe. Photography by Sammy Samora for 254 FILMS. More photographs........

USIKATE TAMAA LYRICS BY P-DAY DOGO RICHIE TATU AND ALKENIA LUV.

Image
Kwa mara ya kwanza Amz Produza amewaleta wasanii wakomavu kwenye boti moja na matokeo ni kama yafuatavyo: USIKATE TAMAA LYRICS VERSE 1 Asubui nimeamka namshukuru Mola kwa kunipa uzima, naweka shati begani...... Ninapokwenda sipaoni sijatia kitu mdomoni, nina imani nitapata..... Naenda kutafuta Mwenyezi Mungu wangu nitangulie, Nikifika uwepo unishangaze nifaidikike nami japo....... Nina imani kwako Mungu binadamu sote tuko sawa, bibii jamani hututofautisha...... Unawezalala hohe hahe, ukaamka mwenye kutabasamu, Jipe moyo na subira, ukamilishe ndoto zako. CHORUS Kweli ya Mungu ni mengi, hujui ya kesho, Unachofanya tia bidii, subiri malipo... Pale unapofika mwisho, ndio mwanzo wa Mungu, Unapopata matatizo, ni mitihani ya Mungu.... Na wala usikate tamaa, Mungu anajua mipango yako....... Nawala usikate tamaa, tena anajua juhudi zako. VERSE 2 Juhudi zako za kila siku, kujinyima kwako na uvimilivu, Ukifanya fanya sio kujaribu, Oh oh lipo jibu..... Kwetu mtaftaji hac...