WHINE LIKE A GOGO!! VIDEO MPYA YA FIDELAIZ RAIS MPYA WA DANCEHALL KENYA!
Dancehall mtindo wa muziki unaopendwa hapa nchini ila ni wanamuziki
wachache tu wanaoufanya.Leo hii msanii wa dancehall amejitokeza na
kuyapinga hayo kwani yupo na video mpya ya Dancehall.Fidelaiz msanii
aliyechini ya mbawa zake Selecta Kras na produza Teknixx ametoa video
yake ya wimbo 'whine like a gogo'.Video hio imeandaliwa na producer
Teknixx akishirikiana na Selecta Vincent Kras.
Comments
Post a Comment