Msanii Zureya ajitambulisha na ngoma yake mpya aliyomshikisha Rojo-Mo.

Mtoto wa kike Zureya ameachilia Wimbo wake aliomshirikisha msanii mkali wa kutoka Pwani Rojo-mo. Wimbo wenyewe unaitwa Wanizingua ambao walifanyia JacjJackbeats chini ya usimamizi wa management ya Greenhouse records, ilipo Mombasa.

Video tayari ishatoka huku ikifanyiwa launching wiki hii. Pwani Usanii tulikuwepo kwenye shooting ya video yenyewe ambayo ilifanywa na Kampuni ya CMG Productions ilipo Nairobi, na hizi ni behind the scene pictures ya kazi yenyewe ambayo ni safi na inakubalika. Unaeza mpata kwenye mitandao ya kijamii ikiwepo Facebook kwa jina Zureya Msanii.



Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA