BABY MADAHA AONGEZA MARINGO NA MADAHA ZAIDI KWA VIDEO YAKE MPYA KWA KUIFANYA NUSU UCHI!!


 Wengi walimfahamu kwa filamu 'GAL BLADDER' na kwa urembo wake wa kuvutia na kusemwa na wengi. Madaha mwenye hadhi, mvuto na urembo wa kumfanya awe kipenzi cha wengi amesajiliwa chini ya CandynCandy entertainment chini ya mbawa zake meneja Joe Kariuki .Madaha aligeuza mkondo na kuwa msanii wa muziki na kwa sasa ametoa wimbo na video mpya kwa jina'nawaponda'.
Video hiyo iliyoandaliwa na Candy n Candy itawavutia wengi na mashabiki watakua na jambo la kuongelelea. Baby Madaha amejimwaga nusu uchi pamoja na madancers wakali kwa jina Kanga moto.
Viuno na miili imetingishwa visawasawa itakayowaacha mashabiki wakidondokwa na mate. Huku wakionyesha miili yao waziwazi na jinsi Mungu alivyowabariki kwa miili mizuri, meneja wa CandynCandy alionyesha kuridhika na video hiyo na kuahidi kuwa video nyingine tamu zaidi ama kwa jina lingine DIRTY VERSION ipo njiani.

Hii hapa video yenyewe


Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA