AMOURY BEYBIE AMSHIRIKISHA NYOTA NDOGO KWA WIMBO BARIDI.
Huku ukiwa msimu wa baridi na rasharasha za mvua pwani wasanii imewabidi wapate mada za kuimbia.Tunawazunguzia Amoury Beybie na Nyota Ndogo kwa wimbo wao mpya 'baridi'. Video ya 'baridi' ilikua chini ya uandalizi wake Lil Guy G gwiji wa video za muziki hapa pwani.Video hio ya hali ya juu ilipambwa na madancers wakali wakali huku Nyota Ndogo pamoja na Amoury kuipamba kwa uigizaji wao wa hali ya juu.
Comments
Post a Comment