MADAWA YA KULEVYA YASUMBUA NA KUMPOTOSHA MMOJA WA KIKOSI CHA UKOO FLANI.
Huku wengi wa wanamuziki
wa pwani wakiimba na kukashifu utumizi wa madawa ya kulevya yaonekana
wengine wanaenda kinyume cha wenzao.Habari zinazotufikia ni kwamba mmoja
wa rapper gwiji aliyekwenye kikosi cha kundi lenye hadhi kwenye muziki
wa pwani,UKOO FLANI yuatumia madawa ya kulevya.Cha kusikitisha zaidi ni
kuwa bingwa huyo ameathirika vibaya na madawa hayo hadi hawezi kumaliza
muda wa saa moja bila kutumia.Meza yetu ya habari ilipashwa kuwa msanii
huyo wa kikosi cha Ukoo flani anatumia madawa kwa jina la mtaani
'MONDO'.Swali ni je,mashabiki tuelewe vipi? Msanii si ni kioo cha jamii ?
Comments
Post a Comment