NYOTA NDOGO APIGWA CHABO AKIBADILISHA NGUO;AKIWA UCHI !!!
Huku tukisubiri
album yake ya mapanya kwa hamu na ghamu,binti msanii wa hapa pwani Nyota
Ndogo alijipata kwenye bugdha wikendi hii iliyopita baada ya kupigwa
chapo a.k.a kuchunguliwa akibadili nguo katika chumba chake cha wageni
cha kubadili mavazi alichokuwa amepewa wakati wa show yake.Nyota
aliyekuwa uchi huku akijipaka mafuta alishtukizia watu wakimtazama ndipo
akajua kuwa masela walikua wanampiga chabo huku wakidondokwa na
mate.Nyota anahisi pia alikua anarekodiwa video bila kujua ila alisema
kuwa ana imani kuwa kila kitu kiko sawa japokuwa alipigwa na haya na
aibu kuu.Haya ndiyo aliyoyanakili kwenye ukurasa wake wa facebook kuhusu
tukio hilo......."Yaani nimekwenda show.nikapewa chumba chakubadili
nguo.nimevua nguo zote najipaka mafuta pole pole kumbe najiangalia kwa
kioo kumbe upande wa pili naoneka kila kitu.yaani nimekosa amani...aibu
nilio iona Mungu ndio anajua.sijui wamechukua video..haya ngoja
tusubiri......"
Comments
Post a Comment