PWANI TV:THE SHOWBIZ SHOW KIPINDI CHA MAHOJIANO YA SANAA YA PWANI! "THE SHOWBIZ SHOW"
"THE SHOWBIZ SHOW" inampa msanii, promoter, presenter, producer fursa yakuonekana na mashabiki wake kupitia mahojiano ya moja kwa moja....madhumuni ya kuanzisha mradi huu ni nikuenua ama kuipatia nguvu sanaa yetu ya pwani, kujenga upendo, kumfanya shabiki amjuwe msanii wake anayempenda..utakuwa unapewa fursa ya kuchangua ni nani unataka tumuhoji na wataka tumuhulize nini? REM: THIS IS THE SHOWBIZ SHOW.. go to our page 'the showbiz kenya' na usemenasisi. COMING SOON ON PWANI TV
Comments
Post a Comment