KAA LA MOTO ATEMBEZA KIPINDI CHA FREESTYLE PWANI TV.


Hiphop Teketeke ni kipindi cha Hiphop kinacholetwa na Kaa la moto.Kipindi hiki ni cha kutembelea mtaa baada ya mtaa,hood to hood ....Lungalunga hadi Voi hadi Lamu,Malindi,Kilifi,Mombasa town, Coast region yote.Kaa la moto alitueleza,"if you see me kwa mtaa wako jua ni Freestyle,Battles na punchline skills...." Shooting huwa tuesday halafu inaonekana Thursday kwa Pwani Tv kuanzia saa kumi na mbili jioni.Kaa la moto alitueleza kuwa wasanii underground wanapewa 70 % halafu 30% ni kwa wale wanaojulikana.Kaa la moto yupo tayari kuzuru kila­ pahali kama emcee unajiamini unaweza usisite kuwasiliana naye.

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA