DDI HEMEDI SINGER AZUNGUMZIA KUHUSU VIDEO YAKE MPYA 'USIJALI'.
Kwa mtindo wake mpya swarnb mkali wa mafleva ya rnb anayeflow kwa lugha ya kiswahili Iddi amekuja wazi kuongelea kuhusu video yake mpya USIJALI.Iddi aliyesajiliwa chini ya Sandstone Studios ya Ted Josiah amefanya vyema kwa ubunifu wake wa hali ya juu na kweli ameteka nyoyo za mashabiki wengi.Tuliwasiliana naye ili aweze kutueleze zaidi kuhusu video yake mpya na alikuwa na haya ya kunena......"Usijali..is a swarnb song..its all about this insecure "girlfriend" of mine who thinks that i cheat or go out with other women just because am an artist.So the song tell her not to worry about a thing, she's the only one i have..and it's on behalf of my fellow artists who have the kind of problem in life..and anyone else out there who feels like that..to wrap it up 'insecurity' is the theme"
Huku akiisifu video yake, Hustla Jay ambaye pia amesajiliwa kwa studio za Sandstone studios alimpa support mwenzake huku akimsheherekea kama msanii bora na mfanyikazi bora siku labour.Hustla Jay anayevuma kwa kibao Continental Scar alinakili haya kwenye ukurasa wake wa facebook...."my labour day is all about iddi's new video 'usijali' my brother has big dreams just like i do his journey has started lets hold hands and support iddi and SWARNB iddi is a young artiste and a producer to be, his talk is a talk of success Tedd Josiah sandstone studios be blessed labour day aint a day of celebration but focus on becoming enterprenures of tomorrow ....." Hustla Jay na Iddi Singer wote ni wasanii wanaotokea hapa pwani ila wamesajiliwa studio ya Sandstone Studios Nairobi chini ya mbawa zake produza gwiji aliyebobea Ted Josiah.
Comments
Post a Comment