NYOTA NDOGO:TATIZO NI POMBE!!
Binti mwenye sifa kemkem na gwiji wa muziki wa pwani Nyota Ndogo
hawachi kugusia mambo yanayotikisa jamii kwa njia mbaya.vNyota,ameandaa
wimbo mpya kwa jina 'pombe'. Wimbo huo uliorekodiwa chini ya uandalizi
wake Produza shupavu Totti upo kwenye album mpya iitwayo
Mapanya.
Nyota,alitoa wimbo huo kwa ajili ya visa na mikasa inayotokea nchini kwa ajili ya pombe;watu kufa,ajali za barabarani na kadhalika.
Nyota,alitoa wimbo huo kwa ajili ya visa na mikasa inayotokea nchini kwa ajili ya pombe;watu kufa,ajali za barabarani na kadhalika.
Comments
Post a Comment