Nyota Ndogo amtumia mwanawe message ya Birthday
Nyota Ndogo ni msanii abaye ni role model kwa wasanii wengi. Hivi leo anasheherekea Birthday ya Mwanawe wa kiume Mbarak Abdalla Salim ambaye anafikisha miaka kumi.
Tulipozungumza naye, alikuwa na haya ya kusema
"Chochote ninachokifanya na bidii yangu, wananipa wanangu kwa ajili sitaki wapitie niliyoyapitia mimi." alitueleza.
Amezidi kusema kuwa she is proud to be a mum na amewapa changamoto wazazi wote hasa wale amabao ni wasanii, wawapee watoto wao kipau mbele katika maisha.
Sisi kama P.U tunamtakia Birthday Njema Mbarak.
Comments
Post a Comment