PRETTY MEISY AZUNGUMZIA MUZIKI WAKE WA GOSPEL.


JE ULIANZA MUZIKI LINI? 
I started music back in Uganda while still studing, nikafanya ngoma zinaitwa NABANKEMA na SANYU (it was in both Luganda language and swahili) 
NYIMBO HIZO ULIZIANDAA STUDIO GANI? 
Studio inaitwa ROYAL SQUAD STUDIO ndio nilifanya SANYU na AFANDE RECORDS nikarekodi NABANKEMA. 
ULIRUDI KENYA LINI NA KUENDELEA VIPI NA MUZIKI? 
After my studies I came back to Kenya and joined CrackSound Records with Producer Lai in the year 2012 where i first did PAINKILLER. Nikafanya NO ILLUMINATI ft Lai,Hakuna Superstar,Mtu Hivi Hivi,na my latest ni HAKUNA KUBAHATISHA. 
KWA SASA UNAJISHUGHULISHA NA YAPI KIMUZIKI? 
Currently naworkia Album Yenye itakuwa out Mwezi wa Nane na kazi nyingine naifanyia Nairobi pia ikiisha Album itakuwa imekamilika vilevile working on another collabo inaitwa MBONA ambayo itakuwa out soon.

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA