PRODUZA BILLY MOSES ATOA NYIMBO MPYA KUHAMASISHA USALAMA!
Huku Kenya nzima ikilia na kuongea kuhusu mambo ya usalama nchini Produza Billy wa Newdawn recordz aliyewaletea kibao Mkenya Daima amerudi kwa mara ya nyingine tena kuhamasisha jamii.Billy,ambaye ni mmiliki wa Newdawn recordz likoni amerekodi wimbo mpya kwa jina 'usalama' na ameahidi kufanya muziki utakaoelimisha jamii kwa mambo yanayotukumba.Wimbo usalama utausikia hivi karibuni kwani unaachiliwa rasmi wiki hii.
Comments
Post a Comment