Posts

Showing posts from May, 2014

BEEF MPYA!! ORDINAREH BINGWA NA MAJIRANI!

Image
Hii ni story ilitokea kwenye jarida la Spice Magazine inayochapishwa na Gazeti la The People.  Kuhus Beef kati ya Msanii wa Pwani Odinareh Bingwa na Msanii aliyekuletea hit ya Hivyo ndio Kunaendaga.  What is the definition of a socialite? Don’t think of those well endowed ladies. According to Coastal hip hop head, Odinareh Bingwa, his fellow artiste Majirani has now become one. Odinareh Bingwa could not hide his displeasure with the way Majirani has been handling his social life and how he interacts with his fans via social media. This came after Majirani posted on his Facebook page asking his fans who their favourite Tanzanian artiste was. This triggered comments from fans showering support on him but also saying that he had become desperate for attention. However, speaking to Spice, Majirani stated that he did not even know who Odinareh Bingwa was and that he was not desperate as he is busy working on a new track and the video to his song, Tukumbukeko T...

BABY MADAHA AONGEZA MARINGO NA MADAHA ZAIDI KWA VIDEO YAKE MPYA KWA KUIFANYA NUSU UCHI!!

Image
 Wengi walimfahamu kwa filamu 'GAL BLADDER' na kwa urembo wake wa kuvutia na kusemwa na wengi. Madaha mwenye hadhi, mvuto na urembo wa kumfanya awe kipenzi cha wengi amesajiliwa chini ya CandynCandy entertainment chini ya mbawa zake meneja Joe Kariuki .Madaha aligeuza mkondo na kuwa msanii wa muziki na kwa sasa ametoa wimbo na video mpya kwa jina'nawaponda'. Video hiyo iliyoandaliwa na Candy n Candy itawavutia wengi na mashabiki watakua na jambo la kuongelelea. Baby Madaha amejimwaga nusu uchi pamoja na madancers wakali kwa jina Kanga moto. Viuno na miili imetingishwa visawasawa itakayowaacha mashabiki wakidondokwa na mate. Huku wakionyesha miili yao waziwazi na jinsi Mungu alivyowabariki kwa miili mizuri, meneja wa CandynCandy alionyesha kuridhika na video hiyo na kuahidi kuwa video nyingine tamu zaidi ama kwa jina lingine DIRTY VERSION ipo njiani. Hii hapa video yenyewe

SHEMBWANA MASAUTI ALIA MACHOZI BAADA YA KUSHUSHIWA MATUSI NA PRESENTA WA REDIO:

Image
 "Uko mbali nakutafuta,tamaa yangu haijakatika beybie we ndio unanifaa niko ritho usiku kucha.....!" Hio ndio chorus ya wimbo uliomtoa msanii Shembwana na wengi wakamhafamu.Wimbo 'uko mbali' ulifuatiwa na 'siwezi' ukampandisha kwenye ulingo wa sanaa ya pwani zaidi.Msanii huyu kwa sasa yuasononeka baada ya kupigiwa simu na presenta wa redio na kutukanwa matusi ya hali ya juu. Masauti hakujua kiini cha presenta huyo kumtusi. Kwa uchungu huku akibubujikwa kwa machozi,Shembwana alifululiza haya kwa ukurasa wake wa facebook.."hamuezi amini najua lakini Mungu pekee ndo shahidi yangu....napokea simu new number. Namuuliza nani mwenzangu alichokisema walai kilinishangaza...aliniambia we masauti wacha ushoga na akanitukania mamangu mzazi....niliamua kusave ile namba nikaenda watsapp maybe nitapata halafu nicheki profile yake kama ni nani kama kweli nikampata ni mtu ninayemjua tena presenter anaye heshimika sitamtaja* kwakweli alinifanya nikalia mcha...

PWANI TV:THE SHOWBIZ SHOW KIPINDI CHA MAHOJIANO YA SANAA YA PWANI! "THE SHOWBIZ SHOW"

Image
"THE SHOWBIZ SHOW" inampa msanii, promoter, presenter, producer fursa yakuonekana na mashabiki wake kupitia mahojiano ya moja kwa moja....madhumuni ya kuanzisha mradi huu ni nikuenua ama kuipatia nguvu sanaa yetu ya pwani, kujenga upendo, kumfanya shabiki amjuwe msanii wake anayempenda..utakuwa­ unapewa fursa ya kuchangua ni nani unataka tumuhoji na wataka tumuhulize nini? REM: THIS IS THE SHOWBIZ SHOW.. go to our page 'the showbiz kenya' na usemenasisi. COMING SOON ON PWANI TV

PRODUZA MSANII LAI AFUNGUKA VIKALI KUHUSU SUDI MANJEWA.

Image
Huku akiwa tayari kuachia wimbo wake mpya,produza msanii Lai anayetokea pande za Kilifi na aliyevuma kwa vibao vikali vikali kama nipe risiti,kimya lai anaongea,lawama lazima na vinginevyo amekuja wazi na kuvunja ukimya wake na kuongea kuhusu tetesi zake na msanii Sudi Manjewa.Tulipowasiliana naye Lai alitueleza hivi....."Sina mpango wa kufanya collabo na sudi manjewa kama wengi wanavyodai,wala sikumtetea sudi nilipokuwa kwa interview na dj Gates,.yes,kuna story na mimi mwenyewe nishawai ulizwa kama ni kweli kuna ngoma yenye nimefanya na sudi manjewa ila tu tumeizuia bado,jibu ni NO,hakuna chochote na sijapanga lolote juu ya project naye,.yes i know Sudi ni msanii mzuri ila hayuko kwenye mpango wangu kwa sasa...." Lai tayari ashakuja wazi kuwa hana mpango wowote wa kufanya collabo na Sudi Manjewa na hajawahi fanya muziki naye.Lai vilevile aliongezea haya......."kuhusu kumtetea alipokuwa akikashifiwa na dj gates juu ya utunzi wake wa kudiss,mimi sikumt...

NYOTA NDOGO APIGWA CHABO AKIBADILISHA NGUO;AKIWA UCHI !!!

Image
Huku tukisubiri album yake ya mapanya kwa hamu na ghamu,binti msanii wa hapa pwani Nyota Ndogo alijipata kwenye bugdha wikendi hii iliyopita baada ya kupigwa chapo a.k.a kuchunguliwa akibadili nguo katika chumba chake cha wageni cha kubadili mavazi alichokuwa amepewa wakati wa show yake.Nyota aliyekuwa uchi huku akijipaka mafuta alishtukizia watu wakimtazama ndipo akajua kuwa masela walikua wanampiga chabo huku wakidondokwa na mate.Nyota anahisi pia alikua anarekodiwa video bila kujua ila alisema kuwa ana imani kuwa kila kitu kiko sawa japokuwa alipigwa na haya na aibu kuu.Haya ndiyo aliyoyanakili kwenye ukurasa wake wa facebook kuhusu tukio hilo......."Yaani nimekwenda show.nikapewa chumba chakubadili nguo.nimevua nguo zote najipaka mafuta pole pole kumbe najiangalia kwa kioo kumbe upande wa pili naoneka kila kitu.yaani nimekosa amani...aibu nilio iona Mungu ndio anajua.sijui wamechukua video..haya ngoja tusubiri......"

THE EXCLUSIVE INTERVIEW WITH CHIGULU NGALA:AONGELEA KUHUSU SANAA YA PWANI!!

Image
 Pwani Usanii: Tell us a little bit about your background.  Chigulu Ngala: I was born in 1988 november 24th,went to makupa primary school then joined burhaniya sec but kwa sababu ya utovu wa nidhamu i was expelled then i joined tononoka secondary school where i cleared my high school education.  Pwani Usanii: Haha,rude boy.How did you get into radio?  Chigulu Ngala: I had an interest ya radio since i was young and most of the time i would find myself listening to the late Tony Msalame at metro fm,but wakati nikiwa colee ilifika tym nikawa natafuta atachment and i remember nilifukuzwa kama mbwa in one of the radio stations hapa mombasa but i never gave up hadi one day nikapata nafasi through askari wa mlango kule nyali where sheki fm used to be na hapo ndio nikakutana na Tony msalame who gave me a chance kwa radio.  Pwani Usanii: Wow. Umedeal na wasanii wengi hapa pwani toka uanze.is coast music growing? Chigulu Ngala: yap its growing na kuna tal...

KIM4LOVE PROUDLY PRESENTS DIANI BEACH FESTIVAL!!

Image
East or West Home is the best... FOR THE FIRST TIME IN KENYA, Anna Mpenzi and Real Mapapa... proudly present to you DIANI BEACH FESTIVAL 2014.... THIS EVENT IT IS THE BIGGEST WE EVER HAD BEFORE.. THE PERFECT MIX OF INTERTAINMENT, MUSIC, BEACH, CULTURAL, SPORTS AND ANIMATIONS ON WHITE SAND, SEA BREEZE FROM INDIAN OCEAN AND THE ALL DAY SUNSHINE... PERFECT OPEN AIR SUMMER FESTIVAL 2014.... ON STAGE LIVE FROM THE BEST EAST AFRICAN COASTLINE ENTERTAINERS, Kidis TheJembe Ngenje Mtaa, THE AWARD WINNER NZUMARI AND COASTAL MUSIC,.. ALLY B BASED MOMBASA ARTIST WITH MANY AWARDS,.. Nyota Ndogo SHE WON KISIMA, PAM AWARDS AND MANY MORE,.. KINGWENDU LEADING TANZANIA BEST COMEDIAN,.. KIM4LOVE, CEO AND FOUNDER ONE HEART PRODUCTION, HE IS A MULTITALENT ENTERTAINER ALL THE TIME... ON THE DEEJAY MIX, ONE AND THE ONLY STARS DEEJAY ALL AROUND, FROM KENYA COAST DEEJAY Frereboy Mikaya, aka FREREBOY AND NUMBER ONE EAST AFRICAN DEEJAY NATURE BASED IN GERMANY.... DON' MISS IT...

MSELA WA HAPA PWANI AKAMATWA LIVE NA POLISI AKIFANYA MAPENZI NA MBUZI TAZAMA PICHA!!!

Image
 Huku msimu wa baridi na rasharasha za mvua pwani ya kenya kushika hali ya anga vilivyo.Kalameni mmoja anayetokea mkoani papa hapa pwani maeneo ya Tiwi alijipata matatani baada ya kufumaniwa akifanya mapenzi na mbuzi. Polisi waliokuwa wanapiga raundi mtaani walisikia mlio wa mbuzi huyo na mguno wa mwanamume aliyenyongonyea kwa utamu alioukua akihisi.Sauti hizo zilizokua kando ya kichaka kidogo ziliwavutia polisi hao waliokua wameshika doria na walipoenda kutazama walipigwa na bumbuazi kubwa walipomuona kalameni huyo akila uroda huku ameingiza uume wake kwa mwanambuzi huyo.Kilichofuata ni kujulishwa mwenye mbuzi huyo na jamaa kupelekwa kituo cha polisi.

MEET THE DICE BOY:OMANGA DICE.

Image
Whats your real name? I go by the name Dennis Omanga.  What name do you use on stage?  My stage name is DICE KENYA or just DICE.  Tell us about your musical journey:  I started music back then in high school with a group named UJU CLAN.Then took music as a career in 2013 .  Tell us about your first song. My first track featuring B.O BOY of Ukoo flani footprints called ONE PEACE ONE KENYA..which got more airplays in ghetto radio aired by Nduguz and it topped their music charts. Which music producers have you worked with?  I've worked with producer lista and Andawotah in bullets record and i'm looking forward to work with THUNDERSOUNDS.  Whats your current project?  A big collabo featuring NGUCHI P and B.O BOY. underway.

KAA LA MOTO ATEMBEZA KIPINDI CHA FREESTYLE PWANI TV.

Image
Hiphop Teketeke ni kipindi cha Hiphop kinacholetwa na Kaa la moto.Kipindi hiki ni cha kutembelea mtaa baada ya mtaa,hood to hood ....Lungalunga hadi Voi hadi Lamu,Malindi,Kilifi,Mombasa town, Coast region yote.Kaa la moto alitueleza,"if you see me kwa mtaa wako jua ni Freestyle,Battles na punchline skills...." Shooting huwa tuesday halafu inaonekana Thursday kwa Pwani Tv kuanzia saa kumi na mbili jioni.Kaa la moto alitueleza kuwa wasanii underground wanapewa 70 % halafu 30% ni kwa wale wanaojulikana.Kaa la moto yupo tayari kuzuru kila­ pahali kama emcee unajiamini unaweza usisite kuwasiliana naye.

WHINE LIKE A GOGO!! VIDEO MPYA YA FIDELAIZ RAIS MPYA WA DANCEHALL KENYA!

Image
Dancehall mtindo wa muziki unaopendwa hapa nchini ila ni wanamuziki wachache tu wanaoufanya.Leo hii msanii wa dancehall amejitokeza na kuyapinga hayo kwani yupo na video mpya ya Dancehall.Fidelaiz msanii aliyechini ya mbawa zake Selecta Kras na produza Teknixx ametoa video yake ya wimbo 'whine like a gogo'.Video hio imeandaliwa na producer Teknixx akishirikiana na Selecta Vincent Kras.

AMOURY BEYBIE AMSHIRIKISHA NYOTA NDOGO KWA WIMBO BARIDI.

Image
 Huku ukiwa msimu wa baridi na rasharasha za mvua pwani wasanii imewabidi wapate mada za kuimbia.Tunawazunguzia Amoury Beybie na Nyota Ndogo kwa wimbo wao mpya 'baridi'. Video ya 'baridi' ilikua chini ya uandalizi wake Lil Guy G gwiji wa video za muziki hapa pwani.Video hio ya hali ya juu ilipambwa na madancers wakali wakali huku Nyota Ndogo pamoja na Amoury kuipamba kwa uigizaji wao wa hali ya juu.

KAVALIER BRINGS YOU THE GRAPHIX PHOTO SHOOT: THE ALL STAR AFFAIR.

Image
Its a GraphiX SHOOT (PHOTO SHOOT) that he will be doing this Saturday with some few Artists. The Photo session is to show Love to the most relevant and still doing it BIG in Music Industry. Trying to show them that Kavalier is still THE NUMBER 1 HYPEMASTA (HYPEMAN) and MC in Town. Pwani Usanii had a word with Hypemasta Kavalier and this is what he had...."I'm 102% tighter than ever in my field, Am running this!!! The photo shoot is for Marketing Mearsures. This is a God Given Talent and i'm doing all my best to make it Worth and relevant cause not most of the people who have embraced it. They yet to know about Hypemen, mostly Mombasa Event organisers haven't yet known about this new talent in town. So they are not giving Hypemen chances to showcase what they got hence they give concerts/events to ARMATUERS who title themselves Hypemen and yet they can't DELIVER!! I'm of great sadness to see how few people are here to kill the industry with fake...

KALI ZETU: NGOMA KUMI KALI MKOANI PWANI.

1. JAFARYZOH – MAMA AFRIKA) 2. NICKNAMES & ONTOZ – SWAGGA 3. LYPSO - DOGODOGO RMX  4. HARSH B – MPENZI BURUDANI  5. BOCAR J & LAI – LAZIMA WAZAMANI AJUE 6. TOTTI – MCHEZO WA KIBE  7. ESCOBAR & SHABIG – KUBALI MATOKEO  8. BAWAZIR – NATAMANI  9. SUDIBOY & KALICHA – SHOBOKA 10. SHERPHERD – MDOGO MDOGO  Kwa niaba ya kipindi cha kali zetu cha radio kaya kila Jumamosi.

MEET EMLEND THE TUFFSHUTTER

Image
Whats your real name: Emmy Alex Mwagandi  How old are you? Im 23 years.   Give us your musical story:  I forme­d Tuffshutters crew with fidempa n k-mess in 2009,we recorded at jungle masters with Emmy d,Homeboiz n ogopa dj's. I did my solo project 'copycopy' recorded at jungle masterz and recently a collabo with Bob-t an upcoming rapper song tittled 'sio game ni war',currently workin on a collabo at audiolab with shavy n slice (of gyael song fame).  Which coastal hood do you represent?  Pandya, kizingo estate.  What else do you do? Im a trained producer by emmyd n script writter. God willing i will be the next big music producer. Are you working with any recording studio curently?  Nop..I Do my work at jungle since niko mombasa.   Do you have any new project?  Yeah a new track out. With Bob-t aka Boy stunner song tittle 'Ongeza drinks' Bob-t new talent signed at jungle masters.

KALICHA ADAI KUWA HANA MKE ILA ANA MTOTO WA MIAKA MIWILI!!!

Image
Kalicha,gwiji wa muziki aliyejimwaya uwanjani kwa kibao chake 'muda unasonga' na kurudi kutupatia 'shoboka' aliyoipiga na Sudiboy amepuzilia mbali uvumi unaotamba kwa sana ati ana mke nyumbani.Msanii huyo alikuja bayana na kuyaweka wazi maneno haya.Hivi ndivyo alivyolonga...."Mwanzo mi sijaowa ila nina mtoto wa miaka miwili na nusu niliye zaa na mwanamke aitwaye Eunice haya eti nasikia scandal eti nimeoa nakataa." Vilevile Kalicha alitueleza kuwa ana ujio mpya kimuziki na hivi ndivyo alivyoongezea "pili kuna debe naachilia kuanzia hivi karibuni liitwalo 'gazeti la leo' produza Tash gifted records.'

SUDIBOY ATOA WIMBO MPYA AKIMSHIRIKISHA AMILEENA.

Image
Sudiboy Mohamed aliyetamba kwa mara ya kwanza kwa kibao 'banati' amerudi tena kwa kibao 'naona bado' akimshirikisha Msanii toka Ukunda anayefanya muziki Nairobi kwa jina Amileena.Collabo hio iliyoandaliwa ndani ya studio za grandpa recordz imewaleta wakali wawili toka pwani wanaofanya muziki wao Nairobi.Sudiboy alinakili haya leo kwenye ukurasa wake wa facebook " Nashukuru sana watu wangu kwa kuniweka juu mpaka saa hii na bado nitazidi kuwapa mziki mzuri so ngoma yangu mpya tayari SUDI FT AMILEENA -NAONA BADO ndani ya studio ya grandpa..."

HHD DJ ACADEMY MOMBASA INTAKE IN PROGRESS.

Image
HHD DJ ACADEMY MOMBASA GIVEAS A SPECIAL OFFER, FULL COURSE 15K For the 1st 20 students DURATION 8WEEKS (2months). CERTIFICATES AVAILABLE... WE ARE BASED IN MOMBASA TOWN SPLENDID ROAD OPP KNL(Kenya National Library)..... REFRESHING COURSE ...  1.CDJ CLASSES...  2.AUDIO N VIDEOMIXING  3.ACID N VEGAS  Classes also available  4.Sound Tech Classes .. CALL ME US 0708940399 AND book now. welcome all.

MADAWA YA KULEVYA YASUMBUA NA KUMPOTOSHA MMOJA WA KIKOSI CHA UKOO FLANI.

Huku wengi wa wanamuziki wa pwani wakiimba na kukashifu utumizi wa madawa ya kulevya yaonekana wengine wanaenda kinyume cha wenzao.Habari zinazotufikia ni kwamba mmoja wa rapper gwiji aliyekwenye kikosi cha kundi lenye hadhi kwenye muziki wa pwani,UKOO FLANI yuatumia madawa ya kulevya.Cha kusikitisha zaidi ni kuwa bingwa huyo ameathirika vibaya na madawa hayo hadi hawezi kumaliza muda wa saa moja bila kutumia.Meza yetu ya habari ilipashwa kuwa msanii huyo wa kikosi cha Ukoo flani anatumia madawa kwa jina la mtaani 'MONDO'.Swali ni je,mashabiki tuelewe vipi? Msanii si ni kioo cha jamii ?

PRETTY MEISY AZUNGUMZIA MUZIKI WAKE WA GOSPEL.

Image
JE ULIANZA MUZIKI LINI?  I started music back in Uganda while still studing, nikafanya ngoma zinaitwa NABANKEMA na SANYU (it was in both Luganda language and swahili)  NYIMBO HIZO ULIZIANDAA STUDIO GANI?  Studio inaitwa ROYAL SQUAD STUDIO ndio nilifanya SANYU na AFANDE RECORDS nikarekodi NABANKEMA.  ULIRUDI KENYA LINI NA KUENDELEA VIPI NA MUZIKI?  After my studies I came back to Kenya and joined CrackSound Records with Producer Lai in the year 2012 where i first did PAINKILLER. Nikafanya NO ILLUMINATI ft Lai,Hakuna Superstar,Mtu Hivi Hivi,na my latest ni HAKUNA KUBAHATISHA.  KWA SASA UNAJISHUGHULISHA NA YAPI KIMUZIKI?  Currently naworkia Album Yenye itakuwa out Mwezi wa Nane na kazi nyingine naifanyia Nairobi pia ikiisha Album itakuwa imekamilika vilevile working on another collabo inaitwa MBONA ambayo itakuwa out soon.

KUTANA NA POLISI MSANII: KALLY D

Image
 TUAMBIE JINA LAKO RASMI NA LA USANII: Kalume Dzombo aka Kally D. UNATOKEA PANDE GANI YA PWANI? Natokea Kilifi county.  UNA NYIMBO NGAPI KWA SASA? Nimetoa ngoma tatu kwa sasa...Unaniweza..Hi­i Ngoma...Come baby Come...kwa sasa kibao changu kipya kinachoitwa CHEZA kimekubalika sana hasa Nairobi na kuchezwa kwa radio kadhaa humu nchini...ki bao hiki pia kimenipa umaarufu sana.  TUELEZE ZAIDI.  Yeah kibao Cheza kimeniwezesha kufanya interviews tatu kwa kipindi cha mwezi mmoja tu.  KANDO NA MUZIKI WAJISHUGHULISHA NA NINI?  Kally D ambaye pia ni Askari wa AP(Administration Police) najivunia sana kipaji changu maana kimenipeleka mbali sana.  LABDA UNA UJIO MPYA WOWOTE?  Yeah niko na wimbo ambao nimetayarisha mpya kwa sasa ambao natamani sana kuufanya na producer TK 2.

THE RETURN OF MAJID KULEKULE!!!

Image
Alipokimya wengi walijiuliza ameenda wapi? Majibu yakawa tofauti tofauti kama kawacha muziki,mara mgonjwa,mara karogwa mara kakimbia pwani.Walidhani atakimya milele daima ila hawakujua kuwa mfalme wa Uswazi almaarufu Majid Kulekule atarudi kwa kishindo! Majid ambaye yupo chini ya Jungle Masterz aliyevuma kwa vibao vya kusimua kama Senoura,Serebuka na Hali alikuwa kwenye collabo ya Lypso dogodogo remix.Vilevile tulipowasiliana naye,Majid alituarifu kuwa yupo kwenye uandalizi wa mambo mapya yatakayowasisimua mashabiki wa muziki wa pwani.Majid alituarifu kuwa wengi walidhani kuwa atapotea ila bado yupo imara na raundi hii bila shaka watamkubali zaidi.

CHIKOM ENTERPRISE:THE NUMBER ONE EVENTS ORGANISERZ.

Image
Do you have an event?? Do you want it to be a first class superb event? If your answer is YES then the time has come to make your dreams come true.Chikom Events from Nairobi has spread its wings and has a coastal branch managed by Geoffry Di Stunt. Chikom deals with Event organising,weddings, birthdays, co-operates, sound systems & lightings. Geoffrey Di Stunt is the marketing director/event plannig and he will make sure the event is a total success.

FIVE THINGS YOU DIDN'T KNOW ABOUT P-DAY!!!

Image
.  1.Real name: Peter siku  2.Went to Katana Ngala high school,  3.Marital status: Not yet married  4.What he oes during free time: I read the bible  5.Apart from music what do you do? :I own an electrical shop (P.day has a new song Bina kithoko)

NYOTA NDOGO:TATIZO NI POMBE!!

Image
 Binti mwenye sifa kemkem na gwiji wa muziki wa pwani Nyota Ndogo hawachi kugusia mambo yanayotikisa jamii kwa njia mbaya.vNyota,ameandaa wimbo mpya kwa jina ' pombe' . Wimbo huo uliorekodiwa chini ya uandalizi wake Produza shupavu Totti upo kwenye album mpya iitwayo Mapanya. Nyota,alitoa wimbo huo kwa ajili ya visa na mikasa inayotokea nchini kwa ajili ya pombe;watu kufa,ajali za barabarani na kadhalika.

PRODUZA BILLY MOSES ATOA NYIMBO MPYA KUHAMASISHA USALAMA!

Image
Huku Kenya nzima ikilia na kuongea kuhusu mambo ya usalama nchini Produza Billy wa Newdawn recordz aliyewaletea kibao Mkenya Daima amerudi kwa mara ya nyingine tena kuhamasisha jamii.Billy,ambaye ni mmiliki wa Newdawn recordz likoni amerekodi wimbo mpya kwa jina 'usalama' na ameahidi kufanya muziki utakaoelimisha jamii kwa mambo yanayotukumba.Wimbo usalama utausikia hivi karibuni kwani unaachiliwa rasmi wiki hii.

NYIMBO KUMI BORA MKOANI PWANI:KALI ZETU

 1. JAFARYZOH – MAMA AFRIKA  2. HARSH B – MPENZI BURUDANI  3. NICKNAMES & ONTOZ – SWAGGA 4. LYPSO - DOGODOGO RMX  5. BOCAR J & LAI – LAZIMA WAZAMANI AJUE  6. TOTTI – MCHEZO WA KIBE  7. ESCOBAR & SHABIG – KUBALI MATOKEO  8. SUDIBOY & KALICHA – SHOBOKA  9. BAWAZIR – NATAMANI  10. SHERPHERD – MDOGO MDOGO  Kwa hisani ya kipindi cha 'kali zetu' cha Radio kaya kila jumapili saa mbili usiku hadi nne kinachopeperushwa hewani na mtangazaji Sista Shaniz.

MEET IGINNIA CHERUTO, Actress at DREAMS WOOD WATAMU.

Image
Mrembo wetu waleo anafahamika kama IGINNIA CHERUTO,ni mmoja katia yama actress wanaofanya vizuri katika ulingo wa kuigiza filamu.Vilevile alianza kuigiza mwaka wa 2012 na kuact filamu tatu ikiwa moja ndiye alii direct.IGINNIA CHERUTO ni Assitance Director wa DREAMS WOOD WATAMU.

PWANI TV KUANZA KUPEPERUSHA VIPINDI HEWANI!!

Image
 Baada ya kujibu maombi ya wanapwani kutaka stesheni yao,Pwani TV ilianzishwa mwaka huu mwezi uliopita kukata kiu cha watu wa pwani. Ilipoanza Pwani Tv ilichukua muda kabla ianze rasmi kuonyesha vipindi tofauti tofauti na hapo jana ilitangaza rasmi kuwa vipindi vitaanza kuonyeshwa wiki hii. Tukinakili waliyopachika kwenye ukurasa wao wa facebook...'Mpwani upo!!! Tunachukua fursa hii kukujulisha mwanzo wa kupeperusha hewani vipindi vyakusisimua, habari zinazokulenga na kukuhusisha wewe kama Mpwani. Vipindi vya kuangazia elimu, biashara, afya, michezo na burudani tosha la kukutumbuiza vilivyo. Juma ni hili, siku ni ya jumatano. Usiwachwe hamnazo bandarini kwani meli yang'oa nanga...."

SUSUMILA AMALIZA TOFAUTI ZAKE NA RADIO KAYA HUKU MWANDISHI WA HABARI AKIMUOMBA MSAMAHA

Image
Bingwa wa 'ngoma itambae' na kwa sasa 'Hidaya' Susumila au ukipenda zaidi Jembe wa majembe amesafisha tofauti zake baina yake na kituo cha radio kaya. Mwanamuziki huyo aliletwa pamoja na watangazaji wa kituo hicho kupitia ushirikiano wa msanii Chikuzee na produza Tk2. Tulipowasiliana na mtangazaji na director wa kipindi cha kaya flavours na chipkizi za Kaya,Teddy Nyae Wa Tinga alikuwa na haya ya kunena.... " Susumila amemaliza tofauti zake na Radio Kaya hii ni baada ya mikutano kadhaa iliyohusisha chikuzee,TK2 kabla ya yeye kuzuru Radio Kaya siku ya ijumaa iliyopita.... "  Huku hayo yakijiri mwandishi wetu shupavu wa sanaa ya pwani, Godwin Wambua almaarufu Habari za Mombasani Usanii alimuomba msamaha msanii huyo baada ya kumnukuu na kuandika habari zilizoleta utatanishi ambao ulimchukiza Susumila. Vilevile Susumila yupo na ujio mpya kabisa kwa jina 'Hidaya' aliomshirikisha Chikuzee.

MEET PHEIFFER THE 18 YEAR OLD MODEL

Image
 Name:Pheiffer Age:18yrs,  A student pursuing a degree in Electrical engineering   Hobbies ­:Swimming and Traveling...ever smilling

DYNAMIC MODELS, A CHANCE FOR ALL ASPIRING MODELS

Image
Provides models for adverts,ushering services,promotions,videos,roadshows,co-operate events,fashion events,sales&marketi­ng&Billboards. Our offices are at Syndicate building next to splendid hotel Meru Road 2nd Floor but we are currently operating from Mombasa Academy of Arts ARYAN building near Unirvesity PLAZA.Contact person; David Kangusty 0715081672.

ZUREYA:THE MUSIC LADY WHO IS ALSO A PROFESSIONAL ARCHITECT.

Image
 Zureya is a musician, contemporary dancer and poet, who is also an architect by training. She is a former student of the Kenya Conservatoire of Music, Nairobi. Here she took singing and classical piano playing classes. She sat for the ABRSM Conservatoire International exams and passed with merit. However, her practical singing training was obtained from singing and practicing with bands at various restaurants in Nairobi and Mombasa. She is currently working on her first album having released her first single, “May Your Light.” This song was recorded at Kassongo studios in Nairobi and the video done by Mo Creative in Mombasa. Her second single, “Drugs aren’t cool”, was adopted by the anti-drug awareness group, Elements Arts, as their theme song. Her third single, "Kenya" was done in collaboration with a Coast-based musician called Escobar babake. She also trained in contemporary dance with Sarakasi Dancers in Nairobi. And currently runs a dance training program...

Jaslu Mavoko kuachia video itakayotetemesha pwani

Image
Jaslu Mavoko ni msanii ambaye kwa sasa anatetemesha kwingi na style yake iliyojawa na mvuto wakivyake.Kwa sasa anaanda video babu kubwa itakayo mgarimu maelfu ya pesa. Courtesy of Malindi Superstars

DREEMZ YOUTH GROUP: Waigizaji kutoka watamu waachilia kazi yao mpya

Image
Je,unafahamu kama DREEMZ YOUTH GROUP ndio kikundi kinacho fanya vizuri mjini Watamu kwa kuigiza filamu.Kikundi hichi kinaongozwa na Director Captain Fazal. Kwa sasa hii ndio filamu yao ya nne ambayo imejawa na mvuto mwingi na mafunzi.

Jituzee aachia kazi yake mpya.

Image
Jituzee a.k.a zee la fayaaa ameachia trak na video inayotambulika kama HAYA NA VIKALE.   For more informatiön utaipata kwa kapu la dunia YOUTUBE.Andika jituzee ft princess  Courtesy of Malindi Super Stars

Nyota Ndogo amtumia mwanawe message ya Birthday

Image
Nyota Ndogo ni msanii abaye ni role model kwa wasanii wengi. Hivi leo anasheherekea Birthday ya Mwanawe wa kiume Mbarak Abdalla Salim ambaye anafikisha miaka kumi. Tulipozungumza naye, alikuwa na haya ya kusema "Chochote ninachokifanya na bidii yangu, wananipa wanangu kwa ajili sitaki wapitie niliyoyapitia mimi." alitueleza. Amezidi kusema kuwa she is proud to be a mum na amewapa changamoto wazazi wote hasa wale amabao ni wasanii, wawapee watoto wao kipau mbele katika maisha. Sisi kama P.U tunamtakia Birthday Njema Mbarak.

Msanii Zureya ajitambulisha na ngoma yake mpya aliyomshikisha Rojo-Mo.

Image
Mtoto wa kike Zureya ameachilia Wimbo wake aliomshirikisha msanii mkali wa kutoka Pwani Rojo-mo. Wimbo wenyewe unaitwa Wanizingua ambao walifanyia JacjJackbeats chini ya usimamizi wa management ya Greenhouse records, ilipo Mombasa. Video tayari ishatoka huku ikifanyiwa launching wiki hii. Pwani Usanii tulikuwepo kwenye shooting ya video yenyewe ambayo ilifanywa na Kampuni ya CMG Productions ilipo Nairobi, na hizi ni behind the scene pictures ya kazi yenyewe ambayo ni safi na inakubalika. Unaeza mpata kwenye mitandao ya kijamii ikiwepo Facebook kwa jina Zureya Msanii.

PICHA ZA HARUSI YA REFIGAH WA GRANDPA RECORDS

Image

FIDELAIZ PRESENTS SIX MUSICAL SECRETS YOU DIDN'T KNOW ABOUT HIM

Image
1.most people don't know he is the co-founder of interclan dancestarz and was once crowned Mombasa king of the dancefloor back in 2000.  2.He first recorded his first song(clean everyday) as a freestyle in 12 minutes which shocked the producer(johnyblaze)­  3.He has a passion for superbikes and fast cars, his favourite bike being a Duccati and the car being Ford Mustang .     4.He had vip access together with interclan dancestarz and clashed with Ding Dong when he came for a concert in Mombasa he washed on how fidelaiz could matchup to his dancing skillz  5.He dreams of clashing with Redsan and Mavado one on one  6.Apart from having passion for dancehall music he also loves trance/techno kind of music

The Exhibitor - Made in Mombasa:

Its The First Dance Movie done in Mombasa, Kenya. It helps explains and shows what dancers go through in their everyday life, the challenges they face from parents, the pressure and influence from fellow youths to engage themselves on drugs and substance abuse. The other main challenge is that the talent is being ignored/ not appreciated in the society, hence being used to hype and spice Events in which at the end of the day some unscrupulous Events Organizers/Managers pockets all the returns of the event leaving dancers wasted, used and these are people who have to pay for the halls/ rooms that they use for practice, they need some cash to make the colourful and attractive costumes based on their performance and all in all they got BILLS TO PAY. Because nobody who wakes up everyday to go to work will feel good to be used by the manager to achieve organizational goals only to realize they have not been paid for their SWEAT and HARD WORK. This dance movie has been done by th...

MFAHAMU MFALME-JAY.

Image
Je,una fahamu kama Mfalme j ni msanii aliyebarikiwa na kipaji cha kuimba pamoja na uigizaji wa filamu mjini Malindi.Ni mmoja katia ya wasanii wanaofanya vizuri mjini Malindi.Kwa sasa amechia video yake mpya aliyomshirikisha SHA BIGGY na THE STREET MAJOR (MASTA KIMBO).  courtesy of malindi superstars