WILLY M TUVA HASAIDII LOLOTE ! MSANII AANDIKA BONGE LA UJUMBE!! SOMA HAPA!!
Msanii kwa jina Lang Katalang amekuja vinoma na kumkashifu mtangazaji wa Citizen wa kipindi cha Mambo Mseto na Mseto East Africa kuwa ana mapendeleo na kamwe hasaidii wasanii wanaoibuka.
Lang Katalang alimpasha Mzazi Willy M Tuva kupitia account yake ya Facebook na kusema kuwa amejaribu sana awezavyo kufikisha muziki wake kwenye kipindi hicho ila juhudi zake uambulia patupu.
Cheki screenshots za account ya Lang Katalang hapa
Comments
Post a Comment