BEKA THE BOY AKUBALIKA GAZETINI.CHEKI HAPA!


Msanii Beka anayetikisa anga za pwani kwa sasa amepata msukumo kwa kihakika kimuziki.
Jamaa huyu aliyetoa kibao Niko Low ambacho hadi sasa kinafanya vyema sana amepata fursa ya kuangaziwa na muandishi sifika wa majarida,Manuel Ntoyai wa jarida la Tribe43 na Spice chini ya People Daily.
Beka kwa sasa yupo katika pilka polka za kuwachia video ya wimbo Siri ya Moyo aliyomshirikisha kiwanja.
Pata nakala yako ya People Daily uweze kujisomea mengi zaidi kumhusu.

Comments

Popular posts from this blog

SUDI MANJEWAYNE :THE PWANI KING OF DISS DISSES AGAIN IN HIS NEW SINGLE 'WATAJISHUKU"

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA