CHIKUZEE KUSAJILIWA WCB YA DIAMOND??

CHIKUZEE KUSAJILIWA WCB YA DIAMOND????

Habari zinazotufikia kwa sasa ni kwamba kuna fununu au tetesi ya kuwa msanii gwiji wa hapa pwani Chikuzee huenda ikiwa amesajiliwa lebo kubwa ya muziki WCB.

WCB ambayo ni kampuni ya mwanamuziki Diamond platnumz ndiyo kubwa kabisa Afrika Mashariki na katika pitapita zetu mitandaoni tulipata kuona picha kibao tu kwenye account ya Chikuzee alizopiga akiwa kwenye anga za ofisi za Wasafi Classic.

Chikuzee aliachia picha kadha wa kadha akiwa ndani ya ofisi na studio za WCB na vilevile akiwa na Produza tajika wa Tanzania.
Hivi je msanii huyu amesajiliwa WCB??????

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA