JE NI DHARAU AMA KEJELI???? CHIKUZEE AAMBIWA AVUE VIATU STUDIO YA DIAMOND HUKU WENZAKE WAMEVAA!!!
Baada ya Chikuzee kuwachia picha akiwa studio za WCB ENTERTAINMENT ya Diamond,wengi walizikejeli kwa kuwa Chikuzee alionekana kuwa mguu chuma huku wenzake wamevaa viatu.
Swali ni je,Chikuzee aliambiwa avue viatu ili asiingize vumbi lake la Likoni humo?
Au je alipendelea mwenyewe kuvua viatu?
Na je mbona wenzake hawakuvua viatu na yeye alivua?
Comments
Post a Comment