JE ULIKOSA INTERVIEW YA KARIBU MOMBASANI PILIPILI FM? CHEKI PICHA HAPA UONE JAMAA WAKIKIMBILIA VIBANDANI BAADA YA INTERVIEW!!!!


JE ULIKOSA INTERVIEW YA 'KARIBU MOMBASANI' PILIPILI FM? CHEKI PICHA HAPA UONE JAMAA WAKIKIMBILIA VIBANDANI BAADA YA INTERVIEW!!!!

Ni mikakati ya kutambulisha video ya karibu Mombasani na media tour bado inazidi kusonga mbele.
Benso na Kigoto Leo walikua ndani ya PILIPILI FM, watangazaji wakiwa Chigulu, Chris na Nelly Mwikamba.
Baada ya kueleza kuhusu wimbo wao KARIBU MOMBASANI na mikakati iliyowekwa ya video, Jamaa tano zilifululiza Moja kwa Moja hadi kibandani kwa sababu ilikua mida ya lunch.
Yaliyotokea yalibaki story..... CHEKI HAPA--------->>>>







PICHA ZA VIBANDANI MIDA YA LUNCH!!!!





Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA