ULIPITWA NA INTERVIEW YA PWANI FM YA KARIBU MOMBASANI? CHEKI HAPA!
ULIPITWA NA INTERVIEW YA PWANI FM 'KARIBU MOMBASANI' ?
CHEKI HAPA!
Kama labda uhondo wa karibu Mombasani ulikupita kwenye interview bomba iliyofanyika 1\3\2017 ndani ya show kubwa ya PWANI FM MashavMashav University usiwe na shaka.
Benso na Kigoto waliingia ndani ya Majengo ya Pwani Fm na kuzungumzia kuhusu project ya KARIBU MOMBASANI inayozua gumzo sana kwenye tasnia ya muziki.
Huku wakiisuburi video yao watakayoiwachia hivi karibuni,wawili hao walieleza vilevile jinsi nyimbo hiyo inatumika kama nembo ya kuwavutia na kuwakaribisha watalii wa kigeni Mombasa.
Cheki picha hapa
Comments
Post a Comment