STESHENI MPYA YA REDIO PWANI ITAKAYOWAENUA VIJANA.



Ni stesheni mpya kabisa iliyo katika matayarisho na tayari kila kitu kishakamilika. Huku bado wakitafuta mawimbi kabambe na upeperushaji vipindi uanze rasmi,88.2 ndio mitabendi ya redio ya BOSS FM.

Stesheni hii inayoongozwa na kijana shupavu kabisa mwenye maono ya kuwaendeleza vijana wenzake,Morris Mbetsa almaarufu Young Boss amejitwika jukumu la kuwahamasisha vijana kuwa maisha yao ya mbeleni yapo mikononi mwao.
Boss FM itakuwa na ofisi zake maeneo ya Mariakani na itasikika kupitia mitabendi ya 88.2 na kusikika Kwale,Mombasa,Kilifi,Malindi,Voi,Taita na vitongoji vyake.

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA