KARIBU MOMBASANI VIDEO LAUNCH JUMAMOSI HII.
KARIBU MOMBASANI VIDEO LAUNCH JUMAMOSI HII.
Ni tamasha la kuiwachia rasmi video ya Karibu Mombasani litakalofanyika Jumamosi hii. Tamasha hili linaloitwa Shots and Bikini pool litafanyika Reef Hotel mida ya saa tatu usiku hadi jogoo litafune mswaki. Wanamuziki Benso,GeeGee na Kigoto watafanya bonge moja la perfomance na Wanamitindo Ria Saburi na Zerina watakua kwenye mic wakiwakaribisha kila mmoja atakayewasili.
Photography itafanywa na Kasino Underwater photography na deejays kama
Dj Mr T
Dj Electric
Dj Tally
Dj Saye
Dj Kanja
wakuwepo. Hivi kwanini ukose? Fika bila kuchelewa!!!!!
Endelea kucheki video hapa
https://youtu.be/NRvHG79vWE4
Comments
Post a Comment