VIDEO YA KARIBU MOMBASANI YACHAFUA MITANDAO YA TWITER
Punde tu ilipoachwa kila shabiki alikimbilia YouTube kuitazama video ya Karibu Mombasani. Kwa jisaa limoja tu video hiyo tayari ushazua gumzo kwenye mitandao ya Twitter.
Huku kila mmoja akitoa mawazo yake kulingana na jinsi alivyoichukulia video hiyo,ni dhahiri shahiri kuwa Karibu Mombasani ishang'oa nanga.
Hizi ni baadhi ya picha za twitter tukizozipata!
UNAWEZA KUITAZAMA VIDEO YA KARIBU MOMBASANI HAPA
BENSO GEEGEE & KIGOTO - Karibu Mombasani [Offi…: http://youtu.be/NRvHG79vWE4
Comments
Post a Comment