BAADA YA KIMYA LIL SHAKES AZUKA!

Alidunda kwenye ulingo wa muziki na kuachia kibao "getting money" na kupasua mbarika Kuwa amefika kwenye Sanaa.
Baada tu ya hapo, Shakes alirudi tena kwa kishindo na kuangusha kibao "Doing it" kilichozitikisa chati Za muziki sio wa Pwani pekee Bali Nairobi pia. 
Rapper huyu anayefanya hip hop na Trap music aliingia masomoni kiasi jambo lililoleta kimya chake.
Kwa sasa,Shakes amerudi tena kimtindo kuwapa wimbo mpya kabisa. 
Wimbo huo kwa Jina Go-getter umeandaliwa na produza Teknix na utaachiliwa hivi karibuni. 

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA