BEKA THE BOY KUWACHIA VIDEO YAKE IJUMAA HII.
Beka the Boy,msanii tajika anayetokea Malindi ataachia video yake ijumaa hii.
Beka aliyeandaa video yake ya wimbo 'Siri ya Moyo' chini ya director Marvin Brudaz alituhakikishia kuwa video hiyo itakuwa moto wa kuotea mbali kwani kando na kuiandaa kwenye hoteli za kifahari mbalimbali director alitumia vyombo vya kisasa ili kufanikisha malengo yake.
Usikae mbali......
Comments
Post a Comment