MSANII DONI ATEMANA NA LEBO YA ISLANDLOVE RECORDS!!!!!!!

MSANII DONI ATEMANA NA LEBO YA ISLANDLOVE RECORDS!!!!!!!

Mfalme wa muziki wa Lamu,Doni ametemana na Lebo yake ya ISLANDLOVE RECORDS ndizo habari zinazotamba kwa sasa.
Doni aliyesajiliwa kwenye lebo hiyo na kufanya vibao vingi vilivyofanya vizuri alikua kwenye pilka pilka za kuandaa video ya nyimbo I am original ambapo mambo yalienda ndivyo sivyo na kuleta utengamano huo.

Tulipowasiliana na meneja wa Islandlove records alitueleza hivi.............." Doni gave us a big budget of his Iam original video , which was to cost a budget of 500 k which was to be done by a famous Kenyan director. We could not handle such or more than that so we had to let him go.He is an ambitious person and we wish him all the best."

Hayo ndiyo maneno ya aliyekuwa meneja wa Doni na kwa sasa msanii huyu yuatafuta usimamizi mpya.

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA