NIKO LOW LYRICS BY BEKA THE BOY
SONG:NIKO LOW
ARTIST:BEKA THE BOY
PRODUCED BY:SANGO(MALINDI RECORDS)
VERSE 1
Kuna muda mwingine huwa Mimi natakaga
Kuwa na wewe kabisa
Lakini ndivyo hivyo huwa wewe unanimwagaaaaeehh
Unanifanya mpaka ghetto mi natorokaga mpaka naachana ni visaa ili nipate tu ruhusa ya kukuonaga
Ila kwanini umejaza hisia penzi umelitia ila
Nyingi fikira zitafanya mpaka taira
BRIDGE:
Penzi la vurugu rugu mi siwezi
Mbona unanipa uchungu na stress
Penzi la vurugu rugu mi siwezi
Mama aaahhh
CHORUS ×2
Niko low low
Niko low low
Niko low low
Niko low low
Niko down low
Niko low low
Karibu unitulize
Tutulize moyo
VERSE 2
Nahitaji kuwa nawe ili nikuweke ubavuni mwangu
Hisia zangu zielewe nikupe chochote kutoka kwangu
Hakuna ajuaya mapenzi zaidi ya
Romeo na Juliet
Ningeweza ngefanya bajeti
Mambo ya gazeti,mi siwezi
Penzi la kubahatisha,mi siwezi
Kukimbizana makilo mita
Mi siwezi
BRIDGE ×2:
Penzi la vurugu rugu mi siwezi
Mbona unanipa uchungu na stress
Penzi la vurugu rugu mi siwezi
Mama aaahhh
CHORUS ×2
Niko low low
Niko low low
Niko low low
Niko low low
Niko down low
Niko low low
Karibu unitulize
Tutulize moyo
Comments
Post a Comment