PRODUZA TEE KUCHUKULIWA HATUA KALI YA KISHERIA KISA VYOMBO VYA MUZIKI.


PRODUZA TEE KUCHUKULIWA HATUA KALI YA KISHERIA KISA VYOMBO VYA MUZIKI.

Ni habari zitakaso shangaza wengi ila mwanahabari wetu aliingia chini ya Carpet na kupiga uvumbuzi wa swala hili nyeti.
Baada ya Produza Tee kutolipia malipo ya kila mwezi ya elfu kumi kwa kuazimwa vyombo vya studio na mmliki na meneja wa studio za Da face music kwa jina Zaky,sasa yupo kikaangoni mwa sheria na Zaky ameamua kuyaweka wazi na kumchukulia hatua Kali za kisheria.Katika mahojiano yetu na Zaky alinena haya.......


"Mimi huwa napenda kukulalamikia kuhusu Tee sio kwa sababu mimi ni mnyonge la najaribu kuwa mtu you know..kuwa na subra ni moja ya sifa za utu... last time ulionesha kutokufurahiswa na hatua nilizo mchokulia Tee na si wewe tu but washikaji wengi waliniomba ni take easy.. kabla sijaitoa kesi polisi Tee alikua ananilipa vizuri tu.. nikaitoa iyo kesi polisi... tee akaenda dubai bila kuniambia.. nikawa namtafuta... amerudi tee hanilipi kama makubaliano yetu ila this time around kaka nachukua studio yote ndio hatua niliofikia mwaka wa tano huu...... nimemchukulia kirafiki na kiudugu but naona hio sio lugha inayo mfaa kuna pesa karibu laki nzima nilimsamehe but now atanilipa zote.....nitachukua studio niende kwake nikachukue na nitaendelea kuchukua mpaka nijilipe........."

Haya ni baadhi ya maneno tu yaliyonakiliwa kutoka kwa Produza Zaky wa Da face music.

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA