ITAZAME VIDEO YA KARIBU MOMBASANI.... MPYA KABISA
Video iliyotarajiwa kudondoshwa ,imedondoshwa kwa kishindo na kila shabiki ana mshawasha wa kuitazama.
Audio ilifanywa na Beatsboy na video kufanywa na director shupavu kwa jina Peterz.
Pata kuitazama hapa
BENSO GEEGEE & KIGOTO - Karibu Mombasani [Offi…: http://youtu.be/NRvHG79vWE4
Comments
Post a Comment