WASANII PATA NAFASI YA KUTENGEZEWA VIDEO ZA BURE KABISA FREE OF CHARGE ALBUM NZIMA NA KUFANYIWA MARKETING PIA!!!!!!!


Kama wewe ni msanii,basi wakati umefika ili kipaji chako kitambulike.Pata kujishindia zawadi ya kipaji chako kwa kurekodiwa muziki wako na kuandaliwa video bure kabisaaaa.Sio waimbaje pekee pia
dance,acting,comedy na modelling vilevile inakubalika.Fikeni
COCONUT BREEZE HOTEL MTWAPA tarehe 28th December saa tisa jioni hadi nne usiku.Tamasha hili limeandaliwa na PWANI HOUSE OF TALENT na linataka kukuza vipaji halisi vya pwani.Kutakuwa na tamasha la talent search ambalo litakuwa na category kama zifuatazo:- 1.music
2.dance
3.acting
4. comedy
5. modelling
Winners music category will get 5 years recording audio/video shoot free,management and promotion deal.
models will sign 5yrs contracts with various companies
dancers/comedians/ will get video shoot of their dances/­entertainment contract for five years
actors will receive free film shooting,sales,promo­tion and management deal and we will sell them both locally and intentionally.
Entrance is 150(soda inclusive)
VIP is 500 (chicken/rice/sima/­chapati inclusive)

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA