BENSO AFUNGUA RASMI WEBSITE YAKE YA MUZIKI.


Msanii aliyeshinda tuzo ya Pwani celebrity awards 2014 male artiste of the year Benso ameamua kueneza muziki wake kwa njia nyingine.Benso anayetamba kwa kibao chake I DO amefungua website mpya ya kusambaza muziki wake. Msanii huyu alipachika haya kwenye kurasa zake za facebook kuhusiana na website yake mpya..................."OFFICIAL BENSOMUZIC website
www.bensomuzic. com
This is a better platform of interacting with you my fans, get to know more about me music, watch my videos easily, Be On the Know Of new releases, scheduled events & performances, gigs, fun days. There is also platforms for downloading & Buying my Music
KEEP IT BENSO
Click
www.bensomuzic. com
And let's Share my world"
Kwa hivyo shabiki wa Benso usichelewe kubonyeza www.bensomuzic.com kupata yanayojiri ya msanii wako.

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA