LIZZ JAHSOLJA:"Studio kulipisha 2500ksh kwa one hour.Wanamuziki wa pwani watatoboa?"
Mwanaharakati na shabiki sugu wa sanaa ya pwani Lizz Jahsolja amefunguka kuhusu malipo yanayotozwa kwa studio za pwani.Lizz amelinganisha malipo ya studio za pwani mwa Kenya na Dubai anakofanya kazi.Dada huyo alidai kuwa Studio za Dubai ni ghali sana zikilinganishwa na studi za huku.Studio za hapa pwani zalipisha 4000ksh hadi 8000ksh.Tukimnukuu Lizz alipachika haya kwenye ukurasa wake wa facebook.....
"Aki studio dubai ziko gali jamani dah..yani msanii ukienda studio ni 100 dhirhamz(ksh2500) per hour na hiyo umewachiwa studio ufanye mwenyewe mastaring ama kama una producer wako afanye mambo...ukitakakuundiwa beat plus mastaring ni 400dhirhams(ksh9000)per hour..sasa per hour hiyo yatosha kumaliza ngoma na mastaring jamani...Wasanii coast mwadekwa na maprodecer na bado mwacomplain..ingekuwa studio zalipisha per hour naona wengine hatungeimba..."
Comments
Post a Comment