Mambo sasa ni wazi kuwa hakuna uhusiano wowote wa kimapenzi baina ya msanii Nick Mumba na Sis P. Sis p anayevuma kwa kibao MSUPA alichoshirikiana na Nick yadaiwa alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na msanii huyo waliofanya kazi pamoja.Kwenye interview na gazeti la PEOPLE DAILY Sis P alidai kuwa hana uhusiano wowote wa kimapenzi na msanii Nick Mumba.
Tukinukuu kutoka kwenye gazeti lenyewe hivi ndivyo alivyosema alipoulizwa
.............there have been rumours that you are item, is this true?
"I would love to clarify that we are only dating musically. I am currently seeing someone else and there is nothing more than friendship.
Comments
Post a Comment