MALINDI RECORDS ETI IMEFUNGWA????SOMA UKWELI HAPA........
Palipotokea uvumi eti studio kali MALINDI RECORDS imefungwa.Mmiliki wa studio hiyo amejitokeza na kusema hadharani kuwa malindi records bado sana na itaendelea kufanya muziki kama mila na desturi.Yohana Okoth ambaye ni lawyer na ceo wa Malindi records mwenye hela kibao kama inavyosemeka yupo ngangari kinoma kuisimamia kwa hali na mali. Okoth Oyiera,
"This kind of pettiness is expected with success and I appreciate you have recognized our status as a powerhouse in the Kenyan Music industry. We are aware of who sponsored this update and we will deal with them accordingly (physically)." Tuliwasiliana na msanii wa hiphop ambaye pia ni rafikiye mkubwa wa Yohana Okoth na alituambia hivi,"
poa one thing watu wanapotray industry Mombasa nakuiangusha people trust media and believe kila kitu wanaona writting, mtu anafaa kuwa careful juu hiyo imechangia respect ya wasanii Mombasa kuwa chini."
Comments
Post a Comment