EVE QUEEN ADHIAMBO ETI YUPO JELA.........pata ukweli hapa
Eve Queen Adhiambo ambaye wengi wetu tunamjua kama Eve wa Nzumari
amekuja wazi na kutupilia uvumi eti yeye yupo jela Shimo la Tewa.Alipachika haya kwenye mtandao wa facebook.................................
"OMG am shocked receiving calls ati niko shimo la tewa hahahahaha jamani aki those spreading false rumours about me May the Lord punish u, like really what have I done to u mpaka u try tarnish my name to that level? Nway the bible says when u try to workhard and achieve ur goals pple will hate u, I leave it to God."
Ukweli ndio huu.
Comments
Post a Comment