WASHINDI WA MTWAPA TALENT CHALLENGE!!! This is how it went down!


Jumamosi ya tarehe 13 pwani usanii ilizuru maeneo ya Mtwapa kwa tamasha la Mtwapa Talent Challenge season one lililofanyika Mtwapa secondary School.Tamasha hilo liliandaliwa na Ali Nassir wa Mtwapa football Talent Association na Cheche media.Judges wa Tamasha hilo walikuwa msanii Alkenia Love,P-day,KentMoses wa Pwani Talent House,pwani Usanii bloggers na Mama Shantel.Wasanii,Dancers,Acrobats,Models,taekwondo and Karate specialists hawakuachwa nyuma.Wote walikuwa tayari kuonyesha talanta zao.Huku wasanii wakijitokeza kwa wingi kama vile :- Traders,Young Dubiz,Cool Giggs,Genexo,DonBabu,Rapp Kamp,Ommy King,Young Billionare,Borntown,KUTO na KITI.Dancers vilevile walikuwepo wakunenguo viungo kwelikweli.Makundi tofauti ya sanaa yalijimwaya uwanjani na mwisho wa siku washindi walikuwa hawa:
MUSIC CATEGORY
1.Genexo(Ip and C-dorf)
2.K.U.T.O
3.Young Dubiz

DANCE CATEGORY:
1.Lunatix
2.Mtwapa secondary
3.Hard DC

ACROBATICS CATEGORY
1.Black damond
2.Five power kids
3.Kenyan boys

SPECIAL TALENTS
1.Karate duo
2.The legend taekwondo
3.Genexo choral verse

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA