SISTA SHANIZ AJIBIZANA VIKALI NA BACKSTREET ENTERTAINMENT!
Huku
mabo yakiwa dijitali sana na vyombo vya kupitisha habari vikizidi,pwani
haijawachwa nyuma.Tulianza na vituo vya habari hadi sasa tunao bloggers
wakali wanaotembeza habari sio za sanaa pekee bali za kila aina.Huku
blogger Backstreet entertainment akizidi kupamba moto na kuwapa habari
za sanaa ya pwani pindi zinapochipuka.Radio presenta Sista Shaniz wa
kipindi Kaya Flavaz cha radio Kaya yaonekana hapendezwi na kazi
anazofanya blogger huyu na hakuchelewa kumuingilia.Papo hapo majibizano
yalizuka kwani Backstreet entertainment hakutaka zuri au baya la
presenta huyu wa kike.Hivi ndivyo mambo yalivyojiri.............
Comments
Post a Comment