"Mic check.Sijaacha muziki" CRAZY-K AFANYA KAZI MPYA GRANDPA NA MSANII MASHUHURI WA NAIROBI.
Walimuita bingwa wa commercial hiphop pwani;Crazy-K yuleyule wa Rebeca.Msanii huyu alipokimya kwa sana na watu kudai kuwa amewacha muziki mara ameshindwa na game mara amekuwa rubani sijui amekuwa manamba wa ndege,Crazy-K alikuwa studio busy akiandaa album yake.Kwa sasa msanii huyu yupo na ujio mpya kwa jina 'MIC CHECK' ndani ya Grandpa records na amefanya kazi na msanii mashuhuri Nairobi.Tulimuuliza kuhusu wimbo mic check na Crazy-K alikuwa na haya ya kunena,
"Droping on Tuesday 22nd... featuring some well known artist from Nairobi jina nitaficha for now, it will be a double release coz am releasing another track same week, inaitwa "sijaacha mziki."
Comments
Post a Comment