SIS P AWALAUMU BLOGGERS WA PWANI.
Sis
P ambaye kwa sasa anatamba sana kwa kibao chake alichoshirikiana na
Nick Mumba kwa jina Msupa, aliposema hawezi kufanya kazi na wasanii wa
pwani eti yeye yupo level zingine mashabiki walimuingililia na
kumdhalilisha vilivyo.
Vilevile mshika dau wa sanaa ya pwani kwa jina Lizz Jahsoulja alimkata makali na kumtoanisha hadharani kuwa hana haki ya kujiringa na kuwadhalilisha wenzake.
Alipohojiwa na Editor wa Spice Magazine, Manuel Ntoyai, Sis P aliwaelekezea (alipoona maji yamezidi unga) bloggers na waandishi wa sanaa ya pwani na kusema kuwa hao ndio wanaomuharibia jina.
Msanii huyu wa kike aliwaambia spice magazine,"bloggers wa pwani kazi yao ni kuandika mabaya ya wasanii na kusahau mazuri.Wanaua sanaa ya pwani.

Comments
Post a Comment