DONDE SAMORA: "DIAMOND PLATINUMS SHOGA SHENZI TYPE!!"


Bingwa wa miondoko ya Bongo flava Diamond alikuja pwani sio kuperform pekee bali kuwasinya na kuwadhalilisha wasanii wa pwani.Kwa visanga ambavyo vilitokea,presenta Donde Samora ameamua kutocheza muziki wa Diamond na akadai kuwa kamwe hampendi.
Na hivi ndivyo alivyolonga kupitia facebook........
"Diamond Na Ushoga Wake Aende Zake!!...Na Ndo Maana Mimi Sipendi Kuhudhuria Hizi Show Siku Hizi.Yaani Maji Ya Kunywa Tuuu??Maji Tu??Maaaaaji?...Mwawanyima Wasanii Wetu Tunaowaheshimu Maji??Na Kuwatimua Kwenye V.I.P Arear??...Sipigi Tena Song Ya Diamond Mpaka Mwaka Ujao...Shenz Type!!

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA