KITENDAWILI? TEGA! SOMA KITENDAWILI CHA MSANII NYOTA NDOGO CHA KUTAFUTA PESA.................................umpe jibu
Alianza muziki zamani na kweli ametuhakikishia kuwa muziki unalipa.Nyota Ndogo ambaye kwa sasa wimbo wake pamoja na albamu yake ya mapanya ipo sokoni alituangushia kitendawili cha jinsi angelitumia pesa zake.
Kitendawili? Tega!..............."Nimeshindwa kulala I need your help. am thinking about doing some biashara. nimeona hii nyumba nimetaka kununua b ili niipangishe nitape hela ya kila siku.b ut kila mwezi ntakuwa napata 15k. then nikaona probox gari ambayo nikinunua itanipa elfu tatu kwa siku na kwa mwezu ni 93,000. gani jichukue nyumba itachua 10years kurudisha hela yangu but probox only one year kurudisha hela hio"
Mtegulie kitendawili hiki Nyota Ndogo.
Pesa
ReplyDelete