HAIYAAA ANGALIA DJ LENIUM AWAPATA POLISI WAKIFANYA NINI NA KUWAPIGA PICHA????? UTASHANGAA!!


Inaonekana washika dau wa sanaa wameamua kuwaingilia polisi wa trafiki raundi hii.Baada ya Dj Mo kuwapiga polisi waliomtatiza bila makosa na kutaka hongo, Dj Lenium wa hapa pwani hajawachwa nyuma.Lenium aliwapiga picha polisi wa trafiki wanaopatikana pale lights kwa kuzembea kazini na kuwa wavivu.Polisi hao ambao wameonekana wamesimama na kuota jua badala ya kufanya kazi hata baada ya eneo hilo kuonyesha wazi kuwa halijawekwa traffic lights zozote jamaa hawa hawana haya kabisa,wamesimama tu bure.Lenium hakuchelewa kuwaaibisha.

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA