WASANII WAUNGANA PAMOJA NA KUTAKA KUJUA MWELEKEO WA MCSK PWANI KWANI WAMECHOSHWA KUCHEZEWA SHERE.


Wasanii na washika dau kadhaa wamekuja vikali na kushtumu MCSK hasa branch ya hapa pwani kwa kulegeza kamba kwa kazi yao.Huku wakitoa malalamishi yao na kutaka majibu kupitia group moja ya whattsap kwa jina MUSIC REVOLUTION, washika dau hao walikua na mengi ya kuangazia lawama ikilimbikiziwa mkuu wa MCSK eneo la pwani kwa jina Sango.
Coast Regional Director Sango & Maurice Okoth, CEO MCSK

Group hio ikibeba producers,music artistes, presenters na media personalities wengine ilizua zogo kwa mtandao wa whattsap na inadai mambo kuwekwa wazi leoleo.Vilevile baadhi ya watu walimpigia simu Sango ili kutaka kujua kuhusu maswala flani kuhusiana na tetesi hizo na simu zao ziliambulia patupu kwani hazikushikwa wala message kujibiwa.
"The three CMOs MCSK, PRISK & KAMP have signed a partnership deal whose deal is not known to some of us. Wengine wanaendelea lakini Coast tuko nyuma. We need the elected leadership to work on that and it can only be done so by watu flani kuwajibika. Sango included.Pia wasanii wengine walijisajili na mpaka sasa namba hawajapata."
Hayo ni baadhi ya maneno yaliyokuwa yakiongelewa kwa group ya music revolution.
HIVI JE MASHABIKI NA WAHUSIKA MNA YAPI YA KUSEMA????

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA