CHANZO CHA KIFO CHA MWANANGU NI MKE WANGU-MSANII ROMEO ADONDOKWA CHOZI.


Ni msanii mwenye utulivu na adiye na tetesi nyingi; Romeo Rnb. Msanii huyu aliyetamba kwa vibao kama 'Nimechoka' alifunga harusi miaka michache iliyopita na ilikuwa mbwembwe, furaha na vifijo mitaa ya Likoni. Baada ya kimya kirefu tetesi zilitamba mitaani kuwa Romeo ana ugomvi wa kinyumbani na mkewe.
Migogoro ilifanya ndoa hiyo kuvunjika na Romeo akaarifu wanahabari wetu kuwa mke wake ndiye aliyekuwa chanzo kikuu cha mwanawe kufariki na anasikitika sana kwa kupitia hali ngumu. Romeo aliongeza kuwa watu wasikimbilie kuoa tu kiholela, mambo ya ndoa yataka uvumilivu.

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA