MTANGAZAJI GWIJI DONDE SAMORA APANIA KUINGIA KWA SANAA YA UIGIZAJI.


Tulianza kuisikia sauti yake zamani sana na ucheshi wake uliwavutia mashabiki wengi wa radio.
Huku moyo wake wa kukuza sanaa ukiwapa vijana wengi msukumo wa kuendelea mbele kupitia vipindi vyake vya kusisimua vya radio, Donde ameamua kuingia kwenye sanaa ya uigizaji.
"Nilianza kuigiza tangu enzi zangu za shule ya upili na pia nilishawahi kuigiza movie mbili -tatu hivi. Napenda sana kuigiza na hivi punde basi sina budi kuanza."Alieleza Samora. 
Japo bado hajapata kundi au production ya kuanzia nayo alitueleza kuwa anapenda sana kundi la Ashiners production na kikosi chao chote.
HIVYO BASI KAMA KUNA JAMAA WANGELIPENDA DONDE AWE KWENYE MOVIE YAO BASI WASIKOSE KUWASILIANA NAYE

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA