HIVI JE MSANII HUYU AMEACHA MUZIKI NA KUANZA KAZI HII????? DAAAAAAAAHHHH BASI MUZIKI MGUMU!!!!
Tazama rapper Kaa la Moto akilima kwa jembe la ng'ombe. Baada ya labda kupiga show, kwenda mtaani kwa kipindi cha hip hop teketeke, kwenda studio kurekodi kumbe yote Tisa; kumi ni mkulima mkali namna hii. HONGERA!!!
Comments
Post a Comment